, , ,

JINSI YA KUTENGENEZA HOMEMADE ANTI-AGING CREAM.

12:38:00 PM


Wewe kama beauty lover, mwanamke unayependa urembo utakuwa unafahamu by now kuwa ukifika umri fulani basi mustard usoni haikosi, ndio tunaita wrinkles. Basi then, kama Wewe pia Ni mtu wa kupenda vitu natural then hii kitu inabidi ujaribu. 
Uzuri was kutumia homemade products Ni kwamba hamna madawa ndani take ambayo yatakuharibu, Ni either itafanya kazi Au haitofanya kazi. .
VITU UNAVYOHITAJI::
1.COCONUT OIL/MAFUTA YA NAZI.

2.SHEA BUTTER.

3.BEES WAX.
Ni rahisi tu, changanya vitu hii 3 vizuri na Kisha hifadhi katika container Au jar vizuri, use unapaka Kila siku kama night cream Muda wa kulala itaondoa na kuzuia mikunjo usoni na kukupa ngozi laini. 

You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.