, , , , ,

Congratulations to Shamim Mwasha ,Oriflame Tz Senior Manger !!!!

7:59:00 AM

SHAMIM MWASHA :: Yes #jessicaNissege ndio alonikaribisha oriflame kwa kunihabarisha kuhusu fursa na kuniunga mengine yamekuwa historia , nilianza rasmi kudeal na hii fursa #19september niliamua kufanya biashara na kusaka kipato cha ziada kutumia #oriflameproduct
#lookgoodmakemoneyhavefun .

Jesca amenizawadia Tiketi baada ya kufanikiwa kufika level ya #seniormanager mwezi huu #october ukiwa ni mwezi wangu wa pili tangu nianze biashara ambapo September nilifanikiwa kuwa manager (picha nilishare πŸ‘†πŸΎπŸ‘‡πŸΎ)
Na zawadi alonipatia ni tiketi yake ya pili ya kwenda #Miami #miamilife 😜(nishaanza kugoogle #) mzizooooee tu πŸ˜‚πŸ˜‚

yeye kulingana na level yake alofikia kibiashara ana nafasi ya tiketi 2 kwenda kuhavefun kama ilivyo lengo la oriflame ukiondoa
#lookgreat … Kwa kutumia bidhaa , kama hivi mie navotumia #novageecollagen sambamba na bidhaa zingine lukuki .
#makemoney… Kama hii fursa nalipwa kila mwezi na kampuni (ntaendelea kushare kila hatua hadi bank statement kitu gani 😜)
#havefun …. Ndo hivi sasa najiendea Miamiiiiiii shamim Mie lini ningeenda MayamiiπŸ€“ maana hata katika sehemu zangu nilizokuwa napangaga kuzitembelea siku nikipata bingo haimo leo hiii naenda kwa njia ya kuwa member wa oriflame
Kwanini nisijishaua kama si kujidaia na Oriflame 😜😜😜😜 .
Keep on refreshing #myexperienceinMiami loading πŸ˜‰πŸ€“πŸ˜€
.
Thanks #jessicanissege πŸ™πŸΎ#oriflame πŸ™πŸΎπŸ™πŸΎπŸ™πŸΎ thanks to my #teamnovage kwa kuniwezesha 😘😘😘😘
.
.
Nawewe kama wataka kuwa mmoja wetu changamkia fursa
Email ::shamyomy@yahoo.com
Call :: 0784418941
Chat ::DM

You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.