, , , , , ,

Jinsi Ya Kutengeneza Ginger Oil Na Faida Yake Kwa Afya Part 1.

11:18:00 AM

Ginger / Tangawizi inafaida nyingi sana ambazo tayari tunazifahamu. Lakini mnafahamu kuwa Kuna mafuta ya tangawizi  (ginger oil). Na mafia hay tana faida nyingi sana..The best thing Ni kuwa unaweza kutengeneza mwenyewe, lakini kama unaona uvivu unaweza kuyapata katika maduka yanayouza herbal oils. 

JINSI YA KUTENGENEZA MAFUTA YA TANGAWIZI / GINGER OIL.
Unahitaji vitu vifuatavyo::
  • Tangawizi fresh za kikombe 1.
  • Kikombe 1 NA nusu change olive oil.
  • Bakuli linalofaa Kutumika kwenye oven.
  • Kifaa change kukwangulia.

PROCESS ::
  1. Osha tangawizi zako zijiwa fresh Bila kumenya, kisha acha zikauke kwa masaa machache.
  2. Mimina olive oil kwenye bakuli lako linaloweza kutumika kwenye oven.
  3. Kwangua tangawizi kwa kutumia kikwangulio cha carrot, ule upande mdogo kabisa. Then changanya kwenye olive oil.
  4. Weka mchanganyiko wako kwenye oven (150 degrees Fahrenheit) angalau kwa masaa 2.
  5. Mimina mchanganyiko wako kupitia kitambaa cha kuchujia.
  6. Hamisha mafuta yako kwenye vichupa NA uhifadhi katika seems kavu ambazo sio baridi wala joto.
Mafuta haya ya tangawizi yanaweza kukaa fresh kwa Muda wa hadi miezi 6.
PART 2 itaeleza matumizi na faida yake.

You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.