, , , , , ,

Ondoa Alama Za Chunusi - Part 1 : Natural Remedies.

3:35:00 PM


Hello Lovers.
Umefanikiwa kukausha chunusi and now umebakiwa na alama kama madoa meusi usoni. We all know how uncomfortable one gets hata ukiwa na kapele tu, unaona kama Kila kit kina-focus hapo. So anyways these are natural remedies ambazo unaweza kutumia kuondoa makovu / madoa ya chunusi.

Natural Remedies To Use::
1. Tumia ndimu / Use Lemon.

Ndimu inasemekana kuwa na bleaching properties ambazo so kali, hivyo unaweza kupaka ndimu kila siku baada ya kunawa uso wako, kabla ya kulala. Kaa nayo had ikauke then nawa na ulale na uso msafi. Moisturize ili ngozi yako isikakama.

2. Tumia Asali / Use Honey.

Asali ina antibacterial properties ambayo inapooza inflammation, unaweza kutumia Asali mbichi au ile wanaita Manuka. Paka kwenye seems yenye makovu, Kaa nayo kwa dakika 15-20 then nawa na usisahau ku-moisturize.

3. Tumia Baking soda.

Changanya baking soda kijiko 1 na vijiko 2 vya maji maji. Tumia ku exfoliate uso wako. 
Unaweza kupaka uso mzima na kumassage pole pole kwa dakika 2, osha na upake moisturizer.
Au Paka tu kwenye sehemu yenye makovu kaakwamda Kisha nawa.

4. Tumia Aloe Vera.

Tafuta mu aloevera paka kwenye sehemu zenye makovu, acah ikauke, nawa Kisha paka moisturizer.
Kama unataka ifanye kazi haraka changanya Aloe Vera na tea tree oil. Hapa utapata results haraka sana.

5. Tumia Barafu / Use an Ice Cube.

Hapa unaweza kutumia barafu tu kama barafu au ukiamua kugandisha green tea ili kupaka matokeo haraka. Weka barafu yako kwenye kitambaa then weka kwenye alama kwa muda.

6. Tumia  Sandalwood powder.

His unaweza kuchanganya na maji ya rose Mary au ya kawaida kupata paste nzito. Paka uso mzima na ukae nayo kwa dakika 15-20. Nawa then paka moisturizer. Unaweza kupaka kila siku kabla ya kulala.

7. Tumia Apple Cider Vinegar.

Changanya kiasi sawa change apple cider vinegar na maji. Tumia pampa kupaka katakana sehemu zenye madoa. Ikishakauka nawa vizuei then paka moisturizer. Tumia kila siku hadi alama zipotee.You Might Also Like

1 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.