, , ,

TIPS ON HOW TO LOOK GOOD WITHOUT MAKEUP/ FANYA HIVI ILI USO WAKO UPENDEZE BILA MAKEUP

11:53:00 AM


Some days mtu unataka kuwa makeup free laini lakini ukifikiria kuwa hutopendeza Bila makeup ndio tatizo. Unaweza kupata ngozi nzuri na laini na ukapendeza hata Bila makeup. Fata tips hizi zifuatazo::

1.Tumia Tinted moisturizer with SPF.

Badala ya kutumia foundation, tumia a tinted moisturizer with enough spf. Hii italinda ngozi yako na Kui hydrate na hivo kuifanya iwe laini.

2.A cup of Hot vitamin C.

Hakikisha unakunywa maji ya moto yenye ndimu Kila siku. Itakata mafuta na kusafisha mwili, na hivyo kuiacha sura yako ikionekana fresh.

3.Alcohol free toner.

Tumia toner ambayo haina alcohol. Itasaidia ngozi ya sura yako kuwa na rangi moja. Na hutokuwa na haja ya kupaka makeup nyingi ukiamua kupaka.

4.Exfoliate twice a week.

Nimewawekea topic nyingi sana ya jinsi ya ku exfoliate vizuri.  So hakikisha unafanya angalau mara 2 kwa week ili kuondoa uchafu na ngozi iliyokufa.

5.Stop touching your face.

Acha kushika shika uso wako, mikono Bayo hubeba bacteria..hivyo Acha kujishika uso na kutoboa chunusi.

You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.