, ,

Matumizi Ya Mafuta Ya Tangawizi / Ginger Oil.

2:54:00 PM


Hello Loves,

The previous post imewaelezea how to make ginger oil, Lakini pia kama umeamua kuinunua then Leo his tutaongelea matumizi na faida yake.
Nafikiri wengi tunajua kuwa tangawizi inatumika sana ikija kwenye kupunguza maumivu ya tumbo nk. Unaweza itafuna kama ilivyo Au ukaichanganya kwenye juice Au chai.
Mafuta ya tangawizi yakipakwa kwa juu, yaani kwenye ngozi, husaidia kuondoa maumivu kama dawa ya kuchua na kusaidia damu kusambaa vizuri mwilini.
Pia husaidia digestive problems kama vile ukiwa na kichefuchefu, kama hupati choo, tumbo likijaa he's na hate morning sickness kwa wajawazito.
Unaweza pia ukatumia kama Mafuta ya kufanyia massage.

FAIDA ZA KUTUMIA GINGER OIL::

  • Matatizo ya tumbo, Mafuta ya tangawizi yanasaidia vitu vingi ikiwemo gesi tumbo I na hata kukupa appetite.
  • Husaidia kuponya food poisoning, kama umekula chakula kibaya kilichoharibika then Mafuta haya ndio yatakupa unafuu.
  • Inasrmekana pia kuwa ginger oil inasaidia kupigana na virus vya malaria na yellow fever.
  • Husaidia kutibu kifua, mafua, asthma, kama huwa unakosa pumzi nk.
  • Husaidia kuondoa maumivu Yale baada ya mazoezi.
  • Kwa wale wanaotumia Tangawizi Kila siku inawaondolea risk ya kupata magonjwa men go. 

Kuna wengine wapo allergic na tangawizi utaona kuwa unapata side effects kama vile kichefuchefuchefu, kiungulia, viper. Nk.

You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.