,

Affordable Cosmetic Brands To Choose From / Vipodozi Vya Being Nafuu Vya Kununua.

1:23:00 PM


Hoping you a all look glamorous as always..let's talk makeup brands kwa Leo.  We all have brands that we prefer to use. Unaweza kuchagua concealer kutoka brand moja alafu ukatumia foundation na powder kutoka brand nyingine. Or maybe unapendelea kutumia makeup products zote from one brand.
Kwa wale mliokwisha Kuwa addicted na makeup you already know where to get your makeup..so here are some suggestions kwa wale ambao bado wanajiuliza watumie makeup gani..
Kuwa huru kuacha suggestions kwenye comment..

1.Luv Touch Manjano.

Hii Ni brand ya hapa kwetu bongo, kama you are new to this na bado unajaribu kutafuta makeup itayokufaa jaribu this brand. So far nimeona their foundation has the perfect coverage ukipatia shade yako. Huwa natumia tu foundation bila concealer. But kwa nilivyosikia their concealer na powder piano Ni nzuri. Ikija kwenye lipstick, kama unapendelea glossy then utapenda lipstick zao.

2.E.L.F Cosmetics.

This brand pia ni affordable, kwa kila kitu unaweza kupata kwa bei nafuu,the one thing ninachopenda kwao Ni eyeliner. Liquid liner yao ni nzuri.

3.N.Y.X Cosmetics.


4.Essence.


5.Sleek Makeup.


6.Revlon.


7.L'orèal
Hii brand in a the best hair color..but they also have makeup products zote.

Kuwait huru kuacha comment below, unatumia makeup gani, na zipi zinakukataa na zinazokufaa pia..

You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.