, , , ,

Best Natural Ways To Get Rid Of Vaginal Yeast Infection ( Maambukizi Ya Chachu Ukeni).

11:53:00 AM


Ladies at a point in your life ni lazima tu utakumbwa na haka katatizo..and as a woman unatakiwa ujue ni nini utafanya endapo utapata yeast infection huko chini. Kwa waliowahi kupata mnajua how irritating it is, ni mchanganyiko wa uvimbe na muwasho, na unakosa uhuru kabisa wa kukaa. Na utaona vitu kama cottage cheese inatoka huko chini.
Yeast infection inatokea pale ambapo bacteria wanaitwa fungus Candida wanakuwa wamezidi huko chini.
Yeast infection inaweza kuambukizwa through sex lakini haisababishwi nayo..na kama umeshawahi kupata yeast infection it is  likely kuwa utapata tena.

CAUSES OF YEAST INFECTION. 
Hizi ndio zinasemekana kuwa sababu ya kupata yeast infection :
 • antibiotics/dawa (they lower the amount oflactobacillus, or good bacteria, in the vagina)
 • pregnancy/mimba
 • uncontrolled diabetes/kisukari
 • weak immune system
 • poor eating habits, including a lot of sugary foods.
 • hormonal imbalance near your menstrual cycle
 • stress
 • lack of sleep
Njia asili ya kutibu yeast infection.
1.Plain Yogurt.

Hii ndio the main home remedy ambayo wengi sana hutumia. Plain yogurt ina bacteria ambayo inasaidia ku-balance ph level huko chini. Wengine wanakula tu kawaida na wengine wanaigandisha na kudumbukiza huko chini. Inaleta unafuu na kupunguza uvimbe.

2.Garlic / kitunguu swaumu.

Kitunguu swaumu nacho ni antifungal. Chukua kimoja kikubwa na fresh, menya then kifunge kwenye kitambaa kilaini sana then uingize huko chini mda wa kulala. Unalala nayo then asubuhi unatoa. 

3.Tea tree oil.

Wanawake wengi pia wamesema haya mafuta yanaponya vizuri na haraka. Chukua tea tree oil kisha weka vitonye vichache kwenye tampon kisha weka huko chini kama tu ukiwa kwenye period yako. Fanya hivi Muda wa kulala.

 • Unashauriwa usi have sex ukiwa na yeast infection maana unaweza kumuambukiza mwenza wako na kujisababishia maumivu zaidi.
 • Vaa chupi za cotton na uwe unatakiwa ya kununua chupi mpya Kila baada ya mda hata mwezi 1 Au 2 ikiwezekana.
 • Kunywa maji ya kutosha na kulala mda wa kutosha ili kupunguza stress.

Picha hizi zinaonesha yeast infection inavyokua.
You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.