, ,

Manicures With Powerful Messages By Ami Vega Nail Designs.

11:37:00 AM


Kutokana na situation ambayo ipo huko nje kwa wenzetu juu ya uchaguzi was raising was mpya, mwanamke huyu Ami Vega alianza kudesign these beautiful manicures kwa her clients. All her manicures zilikuwa na some kind of message kama freedom, violence against women, black power nk. Aliwapaka some of her clients kwenye siku ya women's march ambapo Wanawake walijikusanya kupinga uongozi na ubaguzi.
See some of her work below. .
Violence against women 

Liberation

Black lives matter

Black power

Black beauty

Sister hood

You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.