, ,

Mazoezi 7 Yatakayobadilisha Mwili Wako / 7 Exercises That Will Transform Your Body.

2:05:00 PM


Exercising is an important thing kwa kila mtu , sio kwa ajili ya kupunguza turn mwili bali mazoezi hukuacha ujisikie mwenye nguvu na utakuwa fit siku nzima, na hata kuepuka magonjwa mbali mbali.
 Mazoezi 7 Yanayokufaa;
1.Jumping Rope/ kuruka kamba.

Mazoezi haya yana burn more calories per minute kuliko mazoezi mengine yoyote.

2.Squats.

Haya yana kaza misuli ya mapaja, mgongo na they give you a defined but. 

3.Push-ups

Watu wengi huwa wanaogopa pushup maana Ni ngumu lakini pia zinasaidia kuondoa tumbo la juu na nyama zembe mikononi na kwenye mabega.

4.Lunges.

Haya ni mazuri kwa miguu na mapaja.

5.Swimming.

Kuogelea pia ni mazoezi. It works every part of your body. Kama hupendi mazoezi jaribu kuogelea it's fun and it will keep you fit.

6.Running 

Watu wengi huchagua kukimbia, all parts of your body will be moving..so this is also good for you.

7.Cycling / kuendesha baiskeli 

The best exercise to get rid of belly fat and work out your legs.

You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.