, , ,

Simple Tip Ya Kukusaidia Kupunguza Mwili.

10:16:00 AM


Most of you must know kuwa the biggest part ya Kupunguza mwili ni portion control/kipimo cha chakula.  It does not matter what you eat as long as unaji control mwenyewe. 
It is true Kuwa ukiacha vyakula fulani vile vyenye mafuta au wanga nyingi nayo inasaidia but you can also eat anything you want kwa kipimo na kuweza Kupunguza mwili.

Sasa tuje kwenye the main point hapa. The simple trick ya Kupunguza mwili kirahisi ni :

"Kunywa glass 2 za maji nusu saa kabla ya Kila mlo"

Unaweza usiamini lakini maji pia yana mchango mkubwa sana ikija kwenye Kupunguza mwili. Ukinywa maji kabla ya chakula itakusaidia usile sana. Hata kama ulikuwa umepania kula kivipi , utakula kidogo tu kisha utakua umeshiba. 
Pia maji yatakusaidia kusaga chakula na hivyo kurahisisha digestion.
Give it a try,  kabla hujanywa chai,  kula chakula cha mchana au cha usiku Kunywa  glass zako 2 za maji then baada ya nusu saa kula chakula.

You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.