, ,

Simple Trick To Make Your Makeup Last Longer.

2:00:00 PM


Kuna little tricks that are just simple and ridiculous kwasababu you would never think of trying them, lakini these tricks work and actually help a lot of us ladies.
Ili kuifanya makeup yako ikae siku nzima Bila kuharibika na kuweza kuitunza ngozi yako, use this trick,

1.Use Ice / Tumia Barafu.

Ukishaosha uso wako, kabla hujapaka kitu chochote chukua barafu, pitisha uso nzima. Hii itasaidia kufunga pores kwenye ngozi yako na hivyo kuepusha makeup kuingia. 
So this trick inakusaidia kuitunza ngozi yako na kufanya makeup yako ikae muda mrefu.

You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.