, , ,

Woman Crush : Gabrielle Union Still Looks So Young At 44!

3:16:00 PM


Okay..najua it's Friday but you just have to give it up for Gabrielle Union! At 44 na bado ana umbo zuri na yupo fit kuliko hata most women in their 20s and 30s.

Gabrielle ameeleza Kuwait siri yake Ni kuwa na uwezo wa kusema NO kwa vitu ambavyo havitaki. Ameeleza pia kuwa anafanya mazoezi ya kutosha, kunywa maji mengi, na she makes sure analala masaa 8.

Yeye kwake mambo ya botox (kuchoma sindano usoni) kama the Kardashians bado hajafikia huko.
Hii photoshoot amefanya na Women's health Magazine.

You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.