, , ,

Fahamu Matumizi Ya Color Correctors.

9:09:00 AM

Color correctors ni concealer za rangi, kunakuwa na rangi tofauti zinazotumika kuweka sawa au let's say kulinganisha rangi ukiwa unapaka makeup.
Wengi tumeshazoea kutumia concealer hizi za kawaida ambapo unaangalia inayoendana na rangi yako basi.

But hizi color correctors they do so much more kutokana na rangi au alama ulizonazo usoni unaweza kuziba vizuri endapo unajua rangi gani itakufaa. Angalia color corrector zifuatazo na kazi zake;

1.GREEN.

Inaondoa wekundu, kama unataka kupaka makeup na una red patches usoni tumia color corrector rangi ya green ili kusawazisha rangi iwe sawa maeneo hayo.
2.YELLOW.

Cancels purple/blue tones, kama undertone yako ni blue au purple then use yellow color corrector. Kama unajua mambo ya makeup nadhani hadi sasa utakuwa ushajua undertone yako ni ipi.
3.PURPLE.

Hii inaondoa dull yellow undertones kwa wale weupe hadi light skin.
4.PINK.

Brightens mahali palipofifia na kwenye discoloration/kulipo kuwa na rangi tofauti.
5.ORANGE.


Inaziba dark circles na brown spots kwa wale maji ya kunde na weusi.
6.BLUE.

Neutralizes sallowness & hyperpigmentation kwa wenye ngzi nyororo.

You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.