HOW TO USE COCONUT OIL TO REMOVE MAKEUP.

12:44:00 PM


Coconut oil / mafuta ya nazi ni bei ndogo kuliko cleansing wipes ambazo wengi tumeshazoea kutumia, except mafuta ya nazi yanafanya kazi vizuri zaidi, na pia yanasafisha ngozi yako, yanaondoa mikunjo chini ya macho na hata kukuza kope zako.
Mafuta ya nazi yataondoa mascara yako yote, sio kama cleansing wipes, nadhani mtakubaliana na mimi hapa, ukiwa unafuta makeup, kutoa mascara unatumia muda mwingi na hata mara nyingine kope zinatoka, lakini mafuta ya nazi yanatoa hata waterproof mascara.
STEPS.
1. Chukua mafuta ya nazi kidogo mkononi kisha paka maeneo ya kwenye macho massage pole pole inakuwa inalainisha.
2. Then massage mafuta ya nazi uso mzima in circular motion.
3. Tumia kitambaa laini na maji ya uvuguvugu kuondoa mafuta, yatatoka kirahisi hivyo usitumie nguvu.
4. Then chukua maji ya uvuguvugu na na upitishe usoni.

Utaona ngozi yako imekuwa laini na it will feel moisturized. Baada ya wiki kadhaa utaona faida ya kutumia mafuta ya nazi kutolea makeup.

You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.