, ,

Sababu Na Njia Za Kuondoa Weusi Sehemu Za Siri / Reasons And Remedies For A Dark Vagina.

4:37:00 PM


Dark Vaginal Color/ weusi huko chini inaweza ikawa kwasababu ya vitu vingi sana.
· Yaweza kuwa kwasababu ya kuvaa polyester and synthetic underwear. Siku zote kumbuka ukiwa unanunua chupi chagua nyingi zile za cotton. Hizo zingine sijui lace, synthetic na polyester nunua tu chache for your special occasions. Na kumbuka kununua chupi ambazo hazibani kabisa kwa ajili ya kulalia ili kuipa ngozi nafasi ya kupumua, kama wewe ushazoea kulala bila chupi then that’s fine.
· Cleaning the Vagina / Usafi.
Tukija kwenye usafi kumbuka kunawa huko chini kila ukienda chooni, badilisha chupi usiivae kwa muda mrefu, badilisha pedi usikae nayo kwa zaidi ya masaa 4, quality ya pedi nayo inachangia katika kuweka weusi huko chini, vaa inayokutosha na ambayo upo comfortable nayo. Kama pedi zinakuchubua basi tumia tampon.
· Matumizi ya cream au mafuta pia inaweza kuwa sababu ya kuwa na weusi kwenye vagina, angali mafuta unayotumia.
· Kwa wanawake wengine weusi hutokea kipindi cha menopause (kuanzia 40, 50 na kuendelea) ambacho nikitu cha kawaida kabisa.

REMEDIES ZA KUONDOA WEUSI.
Kuwa mvumilivu ukiwa unafuata njia hizi, utaanza kuona mabadiliko baada ya mwezi na kuendelea, inategemea na umekua mweusi kiasi gani.
1. Paka mchanganyiko ya fresh plain yogurt na ndimu katika sehemu yenye weusi kisha acha kama dakika 20, then nawa na maji ya kawaida. Ukipenda paka moisturizer.
2. Chukua mchanganyiko wa ndimu na binzari manjano, paka kwenye sehemu yenye weusi huku unafanya kama massage pole pole, kisha nawa.
3. Mara nyingine unaweza ukawa na bacterial infection ambayo  inasababisha muwasho kwenye vagina na hivyo kupelekea weusi. Paka anti-bacterial cream.
4. Unaweza pia ukatumia baking soda au ndimu peke yake, unachanganya na maji kidogo thenunatumia kitambaa laini kufuta sehemu yenye weusi kisha hakikisha unanawa vizuri.
5. Changanya plain yogurt na powder ya maganda ya machungwa yaliokaushwa na oatmeal, inakuwa kama scrub.

· Epuka kutumia aina yoyote ya talcum powder.
· Epuka kupulizia perfume au marshirashi ya aina yoyote.
· Epuka kutumia sabuni kusafisha ndani ya vagina, tumia maji ya kawaida tu. Huko chini kunajisafisha kwenyewe.

· Kama unaona unatatizo nivyema ukawahi kumuona daktari mapema.

You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.