,

Tip Of The Day : Shave Kwa Kutumia Mafuta Ya Nazi.

1:04:00 PM


Mafuta ya nazi yatasaidia kulainisha ngozi yako. Hivyo paka Mafuta ya nazi unapotaka kushave Kiska fanya kama unable massage Kwa dakika 1-2. Tumia Machine safi Au mpya, utaona unshave kirahisi bila kujichuna na itaacha ngozi yako soft.

You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.