, ,

Dove Kufananisha Chupa Zao Mpya Za Body Wash Na Shape Tofauti Za Wanawake.

9:57:00 AM


Dove imekuja na body wash mpya, na ili waweze kuendeleza campaign yao ya body diversity, Yani wanataka bidhaa zao ziwalenge wanawake wote, weupe, weusi, wanene, wembamba, wafupi na warefu. Wameweka hizi body wash mpya kwenye chupa ambazo zinafanania maumbile tofauti ya wanawake.

Lakini watu bado wanajiuliza, kama kweli lengo lao Ni kuwalenga wanawake wote, kwanini chupa zao zote ni nyeupe tu? 

You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.