Makeup Tip Of The Day : Aloe Vera As Primer.

10:39:00 AM


Primer ni moja ya makeup products ambayo ni lazima kuwa nayo. Primer inatumika kabla hujaanza kupaka kitu chochote usoni, primer inasaidia kujaza vile vitobo vya usoni tunaita pores. Ukipaka primer hiyo vitobo vinajazwa ili ngozi yako ionekane smooth utakapokuja kupaka makeup.
Now then, kuna primer aina nyingi sana unaweza kununua kwenye maduka ya vipodozi but kwa wasiojua mualovera pia unaweza kutumia kama primer.
Chukua jani lako la aloe vera kata katikati kisha paka usoni pale tu ulipotoka kunawa uso. Fanya kama una pat uso ili ikae vizuri, ikishakauka endelea kupaka makeup kama kawaida.
Hii itafanya ngozi yako iwe moisturized siku nzima Bila hofu ya kuharibu uso.

You Might Also Like

2 comments

 1. THANKS ZAI
  NIMEKUWA MFUATILIAJI MZR WA BLOG YAKO
  ASANTE UNAVYOTUSAIDIA KUTATUA MATATIZO YA MIILI YETU
  KEEP IT UP

  ReplyDelete
 2. THANKS ZAI
  NIMEKUWA MFUATILIAJI MZR WA BLOG YAKO
  ASANTE UNAVYOTUSAIDIA KUTATUA MATATIZO YA MIILI YETU
  KEEP IT UP

  ReplyDelete

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.