Vitu 5 Vya Kuongeza Kwenye Shampoo Kukuza Nywele Haraka.

12:23:00 PM


Leo nashare na nyinyi vitu 5 ambavyo inasemekana ukiongeza kwenye shampoo yako basi inasaidia sana kukuza nywele. Chagua kimoja wapo kati ya vitu hivi changanya na shampoo yako the next time utakapoosha nywele. Apart from kukuza nywele pia kuna faida zingine.
1.Aloe Vera

2.Honey

3.Castor Oil.

4.Lemon Juice.


5.Rose water.

You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.