, , ,

Beauty Tip : Facial Kwa Ngozi Yenye Mafuta.

7:41:00 PM


Hello ladies, 
Kwa wale wenye ngozi yenye mafuta, unaweza ukawa unafanya facial lakini huoni mabadiliko yoyote that is because unafanya facial ambayo haiendani na skin type yako. Kama una ngozi ya mafuta haushauriwi kutumia creams wala moisturizer kufanya facial.

Facial Inayofaa Kwa Ngozi Yenye Mafuta.
Kama una ngozi yenye mafuta basi unashauriwa kufanya deep cleansing. Deep cleansing ni vile unafanya exfoliation kwa kutumia scrub yenyewe kwa mkono au kutumia cleansing brush.

scrub kwa kutumia brush laini.(kuna speacial brushes za uso)

scrub kwa kutumia mikono


Unasahuriwa pia kutumia toner na mask zile zinazokaukia usoni, kwani zinasaidia kufanya pores ziwe ndogo na hivyo kupunguza mafuta usoni na kuzuia ngozi kutunza uchafu.


Ingia HAPA kujua jinsi ya kusafisha pores.

You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.