,

Beauty Tip Of The Day : Njia Ya Kuondoa Weusi Chini Ya Macho.

12:22:00 PM


Njia moja wapo ya kuondoa weusi chini ya macho ni kwa kutumia kiazi. Chukua kiazi mviringo (viazi vya chips), menya vizuri, osha , then kata kipande kidogo. 
Nawa uso wako vizuri, then weka kipande hiko cha kiazi chini ya macho pande zote mbili. jilaze urela kama dakika 15-20 kisha nawa uso na upake moisturizer.
Kuwa muangalifu na eye cream/serum unazotumia zinaweka kuwa ndio sababu moja wapo ya kukupa weusi huo.

You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.