, , ,

Detox Juice Recipes Kwa Nywele Nzuri Na Ngozi Nyororo.

12:12:00 PM


Katika maisha hivi sasa unaweza ukawa so busy na kusahau kupata lishe kamili inayotakiwa kila siku. Kutokula vizuri pia inachangia ngozi na hata nywele kuharibika. Nyia moja wapo ua kuhakikisha unakula vizuri ni kuhakikisha unapata matunda na mboga za majani kila siku. Hii itakusaidia kupata ngozi nzuri na nywele nzuri.
Njia rahisi ya kuhakikisha unapata mboga za majani na matunda kila siku ni kwa kuandaa na kunywa detox juice. Itakusaidia kupata ngozi na nywele nzuri na hata kuboost diet yako.

Detox Juice Kupata Ngozi Nzuri:
-Carrot 2
-Vikombe 2 vya spinach
-Apple 1
-Tango 1
-Tangawizi 1

Baada ya kuosha vizuri na kukata kata, weka vitu hivi vyote kwenye  juicer yako kisha blend vizuri. Inafaa kunywa kitu cha kwanza asubuhi kila siku ili kutoa toxins kwenye ngozi.

Detox Juice Kupata Nywele Nzuri:
-Matango 2
-Apple 2
-Kikombe 1 cha mint leaves.

Baada ya kuosha vizuri na kukata kata, weka vitu hivi vyote kwenye  juicer yako kisha blend vizuri. Inafaa kunywa kitu cha kwanza asubuhi ili kunyonywa vizuri na nywele.

You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.