7 Hair Masks Perfect For Natural Hair.

3:40:00 PM


Ikija kwenye kutunza natural hair, ili kuweza kupata nywele nzuri na zenye afya, hair masks unazotumia zina play a very big part. Kila unapoosha nywele zako, unashauriwa usiruke hii park ya kuweka mask kwenye nywele zako.
Sio kila hair mask itakufaa that is why inakubidi ujaribu hadi pale utakapopata moja ambayo ukiitumia unaona kweli inakuletea mabadiliko mazuri katika nywele zako. Kukurahisishia shughuli ya kutafuta the perfect hair mask, nimekuletea baadhi ya hair mask ambazo ma-naturalista wengi wanazisifia, kuanzia lightweight formulas(nyepesi) to thicker formulas (nzito)

1.Cantu Shea Butter Deep Treatment Masque.

Hii ni one of the best kwa naturalistas, inanukia vizuri sana na inahydrate na kulainisha nywele.

2.Shea Moisture Jamaican Black Castor Oil Intensive Stregthening Masque.

Hii mask ni nyepesi lakini bado inafanya kazi vizuri sana, itumie pamoja na shampoo yake "shea moisture jamaican black castor oil shampoo".

3.Eden Body Works Coconut Shea Hair Masque.

Wanaopenda harufu ya nazi, this masque smells so good, na nadhani mnajua faida ya mafuta ya nazi, hii mask itaacha nywele zako laini na zitang'aa.

4.Carol's Daughter Rhassoul Clay Softening Hair Mask.

Kwa wenye nywele nzito, thick curls, nywele kavu. kwa dakika 15 tu inafanya kazi safi kabisa, hakikisha unapaka hadi kwenye dry ends zako.

5.Creme Of Nature Moisturizing Reparing Treatment.

Kama nywele zako zimeharibika sana, then this is perfect for you.

6.ORS Olive Oil Hair Masque Intense Treatment.

Kwa wale ambao nywele zimeharibika kwa kutumia pasi na rangi na hata kwa nywele kavu, tumia hii nywele zako zitarudi kuwa nzuri na zenye afya.

7.Dr. Miracle's Feel It Formula Deep Conditioning Treatment.

Kwa wale wenye nywele nzito, this is perfect for you.


You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.