, ,

3 Aloe Vera Face Mask For All Skin Types.

12:29:00 PM


Good morning ladies, Aloe vera inatumika kwenye mambo mengi sana, lakini ulikua unajua kua unaweza kuitumia kutengeneza face mask ili kuimarisha ngozi yako? Angalia hizi face mask aina 3 ambazo unaweza kutengeneza kwa kutumia mualovera.

1. For oily skin / kwa ngozi yenye mafuta.

Changanya kijiko - 1 Aloe Vera
                                    -1 Cinammon/mdalasini
                     -1 Honey/asali

2. For dry skin / kwa ngozi kavu

Kijiko cha -1 Aloe Vera
-1 Fresh cream
-1/2Vitamin E oil

3. For sensitive skin

Kijiko -1 Aloe Vera
-1 Yogurt
-1 Cucumber juice

You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.