, ,

FENTY BEAUTY By Rihanna.

3:40:00 PM


Hello ladies, by now mtakuwa mshasikia about Rihannas' makeup line. The makeup line ni inclusive, ikimaanisha kuwa imewahusina wanawake wa rangi zote, kuanzia weupe hadi weusi. Fenty Beauty ina shades 40 za foundation, so kama huwa hupati rangi yako ya foundation kwenye brand zingine za makeup basi Fenty beauty inaweza ikakufaa, ingawa bado hazijafika huku.

A lot of makeup artists pia tumeshaona wakifanya reviews, na bado sijaona waliolalamika kuwa hawajapata rangi zao.
The makeup brand pia ina makeup brush, highlighter na hata bronze kwa shades tofauti za ngozi lakini ikija kwenye lipgloss wameweka rangi moja tu.
Angalia this video ya Shameless Maya akitumia Fenty Beauty.

You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.